Connect with us


Music

Download: Mbosso – Hodari

Published

on

Tanzania’s top music sensation signed to Wasafi Records Mbosso releases a new smash hit single titled “Hodari”. The slow-tempo love anthem is a WCB production produced by Rash Don and Lizer.

DOWNLOAD MP3 MBOSO HODARI

LYRICS

Lalala lalalalalaaaa… Lalalalalaaaa… Shombe shombe mtoto laini laini Anawaka waka … Aaaaah Wanga wape vidonge nimebaini baini Wanatapa tapa … Aaah… Uhmmmm… Mina nawe mpaka kiama tuombe uzima Waroge kwa kuchutama na wasimame wimaa Kamwe watopata mwanya habithi fitina Wavige mabiringanya si tutoke diner Nalegeaa ukinitazama yako macho Yako macho, oh! Nalegeaa ikigusana Yangu na yako Yangu na yako [CHORUS] Katoto hodari Hodari wa mapenzi Jamani hodari Hodari wa mapenzi Kwa michezo ya chumbani hodari Hodari wa mapenzi Mtundu kitandani hodari Hodari wa mapenzi Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi Nisakata makirikiri Kuniwasha kama pilipili Fundi haswa amekithiri Hunipa nilewe Kwasa kwasa ndani pingili Za kukata saga ka chili Nani haswa unafikiri Kama si wewe Nichezeshe kidaru sosi Usiku wa mananee( vangaa) Nikande kipanda uso tufunikane (kanga) Nitishe boda la huko tukakutane (tanga) Sie pin wa uputo wasijichanganye watapasuka Nalegeaa ukinitazama yako macho Yako macho, oh! Nalegeaa ikigusana Yangu na yako Yangu na yako [CHORUS] Katoto hodari Hodari wa mapenzi Jamani hodari Hodari wa mapenzi Kwa michezo ya chumbani hodari Hodari wa mapenzi Mtundu kitandani hodari Hodari wa mapenzi Wema sepetu hodari (Hodari wa mapenzi) Uwoya hodarii (Hodari wa mapenzi) Mama Cookie hodarii (Hodari wa mapenzi) Mama Dangote hodarii (Hodari wa mapenzi) Jack Wolper hodari (Hodari wa mapenzi) Zari mama Tiffa hodari (Hodari wa mapenzi) Ohesmakan hodari (Hodari wa mapenzi) Elizabeth Micheal Hodari (Hodari wa mapenzi)

Nigeria’s top youth newspaper - actively delivering credible news, entertainment, and empowerment to 50 million young Africans daily.

Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending