Connect with us


Africa

Zuchu – Mwambieni

Published

on

Zuchu – Mwambieni

Emerging Tanzanian female artist, Zuchu came through with another stunning banger tagged Mwambieni, produced by Mr. Lg.

Listen and share your thoughts below!!!

Mhhh mh mhMhhh mh mhhhMhh mh mhMhhEeeeeh kaja omba nirudiaKazirejesha salamZamani kakumbukiaaAmeumisi utamuKaacha kopa kalamba garasa, kaishiwa masikiniMpeni taarifa za beti mkwasa mi simkumbuki sini
Heee mwambieni mwambieniMali yake ishaliwaAhaa apunguze kampeniJimbo lishachukuliwaHehee! mwambieni mwambieniMali yake ishaliwaAha apunguze kampeniJimbo lishachukuliwa
Weeh! kabaki mbe (Mbe arijojo mbembe)Hatarii mbe arijojo mbeKaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)Yuko chalichali mbe arijojo mbeMbe mbe mbe
Alidhani ameniadhiriAlidhani amenikomoaMungu akanipa msitiriAlonipoza nikapoaAah! penzi kalijaza ndindindiKanimwagia mwemweremwemwerePole ya kwako kidingiWa kudandia ngenderengedereSimu za usiku wa saa sita (Aka staki)Kuni dm insta (Aka staki)Kutwa kujikomentisha (Aka staki)Kujitumisha vipicha (Aka staki)
Hee mwambieni mwambieniMali yake ishaliwaAha apunguze kampeniJimbo lishachukuliwaHehee mwambieni mwambieniMali yake ishaliwaAha apunguze kampeniJimbo lishachukuliwa
Weeh! kabaki mbeMbe arijojo mbembe hatariiMbe arijojo mbeKaambulia patupuu (Mbe arijojo mbembe)Yuko chalichali mbe arijojo mbeHee kabaki mbeee (Mbe arijojo mbembe)Si wa mbele wala nyuma (Mbe arijojo mbe)Si wa kuvutwa sukuma (Mbe arijojo mbembe)Inakuuma eeeeh (Mbe arijojo mbe)
Twende kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikitiKikiti kikitiKirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikitiKikiti-kikitiTwende bahSkoroba bah yani bahYani bah skoroba bahYani bah aweehHahaaaaa

 

Ad

Trending