African Music
Zuchu – Kwaru (lyrics+ Video)
Zuchu – Kwaru
Talented East-African song artist, Zuchu from his recently released “I Am Zuchu EP” we present this masterpiece track titled “Kwaru” which comes with the official music video.
“Kwaru” is a heartbreak song and it was produced by lizer classic, The visual was shot and directed by Director Kenny of Zoom Extra.
Listen and share your thoughts below!!
Watch the video below:
Ayo Laizer
Aaaaaaahhh Aaaooaaah aahRoho ingekua na macho ingejionea
Moyo haufanyi kificho ukiotea Mimi kipi nisonacho ungeongea Mwili wangu rojorojo nanyong’onyea aah Chungu nilichopika wamepakua wenzangu Huruma napukutishwa wamechukua donge languNa kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chana
Hazisomeki tena tenzi zimepoteza maana Mpofu moyo wangu Ulishindwa oonaa Hukuandikwa wa kwangu Limenikaba nalitemaaKwaru kwa kwaru kwaru
Kachukua kisoda anaukwaruaa aah Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia aah Kwaru kwa kwaru kwaru Ye kwa nguvu ana ukwaruaa Kwaru kwa kwaru kwaru Jamani moyo wangu unaumia aahLangu tatizo na chunda najimaliza
Mi nakesha kumuwaza Na weweseka lake jina oooh jina Basi kwa unyonge najikaza niache kulia Maana kwake bahati sina (oooh sina) Maumivu ameipora furaha yangu (uuh) Amekwenda nayoo na Zangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh) Yatapita hayoMpofu moyo wangu ulishindwa ona
Hukuandikwa wa kwangu Limenikaba nalitemaa Kwaru kwa kwaru kwaru Kachukua kisoda anaukwarua aaah Kwaru kwa kwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwa kwaru kwaru Aah ye kwa nguvuuu anaukwarua Kwaru kwa kwaru kwaru Jamaniii moyo wangu unaumia