Connect with us


African Music

Zuchu – Kwaru (lyrics+ Video)

Published

on

Zuchu – Kwaru (Audio + Video)

Zuchu – Kwaru

 

 

 

 

Talented East-African song artist, Zuchu from his recently released “I Am Zuchu EP” we present this masterpiece track titled “Kwaru” which comes with the official music video.

Kwaru” is a heartbreak song and it was produced by lizer classic, The visual was shot and directed by Director Kenny of Zoom Extra.

Listen and share your thoughts below!!

Watch the video below:

Ayo LaizerAaaaaaahhhAaaooaaah aah
Roho ingekua na macho ingejioneaMoyo haufanyi kificho ukioteaMimi kipi nisonacho ungeongeaMwili wangu rojorojo nanyong’onyea aahChungu nilichopika wamepakua wenzanguHuruma napukutishwa wamechukua donge langu
Na kitabu changu cha mapenzi ukurasa umechana-chanaHazisomeki tena tenzi zimepoteza maanaMpofu moyo wanguUlishindwa oonaaHukuandikwa wa kwanguLimenikaba nalitemaa
Kwaru kwa kwaru kwaruKachukua kisoda anaukwaruaa aahKwaru kwa kwaru kwaruMoyo wangu unaumia aahKwaru kwa kwaru kwaruYe kwa nguvu ana ukwaruaaKwaru kwa kwaru kwaruJamani moyo wangu unaumia aah
Langu tatizo na chunda najimalizaMi nakesha kumuwazaNa weweseka lake jina oooh jinaBasi kwa unyonge najikaza niache kuliaMaana kwake bahati sina (oooh sina)Maumivu ameipora furaha yangu (uuh)Amekwenda nayoo naZangu mbivu zimeniozea hasara kwangu (oooh)Yatapita hayo
Mpofu moyo wangu ulishindwa onaHukuandikwa wa kwanguLimenikaba nalitemaaKwaru kwa kwaru kwaruKachukua kisoda anaukwarua aaahKwaru kwa kwaru kwaruMoyo wangu unaumiaKwaru kwa kwaru kwaruAah ye kwa nguvuuu anaukwaruaKwaru kwa kwaru kwaruJamaniii moyo wangu unaumia

 

Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending