Video
VIDEO: Macvoice Ft. Kusah – Sikuachi
VIDEO: Macvoice Ft. Kusah – Sikuachi MP4 DOWNLOAD
Macvoice join forces with Kusah on the official music video for “Sikuachi.”
Please listen , share and download
LYRICS
Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuru
Tuturu-tututuruuu
(Sound boy)
Napenda ivyo vidimple ohh
Na zuri lako tabasamu
Kwanza uko simple ohhh
Kuwa nawe siishi hamu
Yametimia maandiko baby
Penzi letu sio haramu
Navimba nimepata jikooo
Mwenzenu nalishwa vitamu
Unapendeza ukilala
Nzuri yako color
Sifa kwa mama alo kuzaa
Mungu anahumba eeh
Nawe umeumbika aaah
Mi’ nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby
Sikuachi
Acha iwaume roho
Sikuachi
Acha iwaume roho (acha iwaume roho)
Hmm mm
Kwanza naanzaje
Kukuacha wewe baby naanzaje!
Nambie, naanzaje!
Kuwa mbali nawe baby naanzaje
Wewe ni tabibu n’kiwa nawe napona
Sipepesi macho naona
Baby baby naona
Nakesha ka’ popo kisa kulilinda penzi langu
Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm)
Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee
Mi’ nakuahidi nitazikwa na wewe
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we
Sikuachi (no sidondoki kwako mmh)
Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
Sikuachi (baby sikuachi mazima)
Acha iwaume roho (yiih mmmm)
ENGLISH LYRICS
Sipepesi macho naona
Baby baby I see
Baby baby naona
I stay awake like a bat to protect my love
Nakesha ka’ popo kisa kulilinda penzi langu
And, where I am, maybe take my soul
Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu
I know they’re gonna hate (hmmm) and this is gonna burn them (hmm)
Najua watanuna (hmmm) na hili litawachoma (hmm)
But they will still see us, honey honey honeyyyy weee
Ila bado watatuona, honey honey honeyyyy weee
I promise you I will be buried with you
Mi’ nakuahidi nitazikwa na wewe
You comfort me mother, when I am sad
Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we
Again promise me (aanh) you will be buried with me (maaa ah)
Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maaa ah)
Come comfort me mother (aanh) in all the troubles and pleasures honey we
Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we
I’m not giving up (and I’m not falling for you mmh)
Sikuachi (no sidondoki kwako mmh)
Let the soul bite (baby I’m your cheese nah nah)
Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah)
I didn’t stop (baby I never stopped)
Sikuachi (baby sikuachi mazima)
Let it bite the soul (yih mmmm)
Acha iwaume roho (yiih mmmm)