African Music
Alikiba – So Hot (Prod. by Kimambo Beat)
Alikiba – So Hot (Prod. by Kimambo Beat)
Eeh kama bahati sananga awe
Nimeipata kwako baby (baby) Usinichukulie poa, mama jiteteo baby Nimtii mwema nipigwe mawe Sababu yako baby (baby) Mapinzano yananichora na me naona Nimelipata Nimekwisha haina utata Kwa kubisha uje uchukue mapipaTule bata delisha
Haina majoto haina Tukule mafoto Kenya Nikuvishe pete final Baby uwe wamoto, wamotoYou are so hot
You are so hot You are hot You are so hotDunia we ndyo pepe nataka
We ni nguni wa mapenzi sina shaka Kaka shemeji ushapata Wife material no hajayatalaka Tunao tunao Wacha wapige domo tunao Si wabaki promo hao Wataliachana nao Naumelipata Nimekwisha Haina utata kubisha Uje tukue mapipa Tule bata delisha Haina majoto haina Tutwange mafoto Kenya Nikuvishe pete final Baby we wamoto, wamoto oohYou are so hot
You are so hot You are hot You are so hot Ooh no!Kwenye akili yangu
Baby unitawale unitawale Kwenye maisha yangu Wema litawale itawale iyee We chango langu We unashinda wale, we unashinda wale We ndyo macho langu leo naonaYou are so hot
You are so hot You are hot You are so hot