Connect with us


Music

Download: Ruby – Alele [Audio+Lyrics]

Published

on

Top Tanzanian singer and songwriter, Ruby is a glamorous lady according to numerous. She is prominently known for her hit tune “yule”.

She started singing in chapel when she was exceptionally youthful. Her expert music profession began when she joined an opposition in Tanzania, Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva and won in 2014. When she initially wandered into common music, she didn’t get much help which is says was on the grounds that those that knew her at that point thought she was accomplishing something evil while she trusts that music is professional some other and she is simply utilizing her God-offered ability to get returns.

Ruby delivers a powerful voice in Alele. Listen, download and enjoy!

DOWNLOAD MP3

Ruby – Alele Lyrics

Its Bob Manecky.. Heeh yeaah…
Nikisema nitakufa
Kisa mapenzi, moyoni nitamkosea
Wanayadhani nina ufa
Hakuna mwenzangu, nyumba inamdondokea

Mi najua
Sina dhamani kwako utanikumbuka
Nishatenda wema
Mi nakwenda zangu utanikumbuka

Poleza na moyo we, mwaya we
Najua amekuumiza
Ila yupo mungu, baba
Najua atalipiza

Pole sana moyo, mwaya
Najua amekuumiza
Ila yupo mungu,baba
Najua atalipiza

Alele, nishalia
Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako
Alele, mtima ulilia
Alele, maana wengine wapo…

Alele, nishalia
Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako
Alele, mtima ulilia
Alele, maana wengine wapo…

Kwa mitaa jamaa anaandamana
Kweli mapenzi yanaliliwaa
Niliachaga drama na ujana
Eey yeah…

Yalianzaga enzi
Ikanenaga na nafsi acha nivumilie
Jamani mapenzi
Yamekuwa hadithi acha nisimulie

Poleza na moyo we, mwaya we
Najua amekuumiza
Ila yupo mungu, baba
Najua atalipiza

Pole sana moyo, mwaya
Najua amekuumiza
Ila yupo mungu,baba
Najua atalipiza

Alele, nishalia
Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako
Alele, mtima ulilia
Alele, maana wengine wapo…

Alele, nishalia
Alele, nikaumia
Alele, sina dhamani kwako
Alele, mtima ulilia
Alele, maana wengine wapo

Nigeria’s top youth newspaper - actively delivering credible news, entertainment, and empowerment to 50 million young Africans daily.

Advertisement
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Trending